Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Professor ameniruhusu nimchane nikiona anakosea – Edu Boy (+video)

Video Archive
Tue, 20 Feb 2018 Chanzo: bongo5.com

Baada ya kuwachana wasanii kama Fid Q, Diamond, Ommy Dimpoz, Dogo Janja, Young Dee na wengine msanii Edu Boy amesema Professor amemruhusu kumchana pia endapo ataona anakosea.



Edu ameimbia Bongo5 kuwa amezungumza na Professor Jay na amempongeza kwa namna alivyofanya katika ngoma yake ‘Tunasafisha’

“Anajua katika hali ambayo nakuwa nakutana nayo kwa sababu ana experience kubwa katika muziki, kwa hiyo ameniruhu kama nataka kumchana, yaani nikaona anakosema nimchane,” amesema Edu Boy.

“Ameniambia Edu Boy nakukubali sana mdogo wangu ninakubali kile ambacho unakifanya, akaniambia hiyo ni changamoto kwa sababu watu wengi hawapendi kuchanwa, wewe unachangasha vitu kama hivyo vinatakiwa viwepo,” ameongeza.

Ngoma ya Edu Boy ‘Tunasafisha’ amewashirikisha Amber Lulu na Belle 9.

Chanzo: bongo5.com