Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Prof. Kilangi balozi mpya wa Tanzania nchini Brazil

KILANGI (600 X 334) Rais Samia akimuapisha Prof. Kilangi kuwa Balozi wa Brazil

Mon, 6 Dec 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rais Samia Suluhu Hassan, leo amemuapisha Profesa Adelardus Kilangi kuwa Balozi wa Tanzania nchini Brazil.

Rais Samia Suluhu Hassan, leo amemuapisha Profesa Adelardus Kilangi kuwa Balozi wa Tanzania nchini Brazil. Halfa ya kumuapisha Profesa Kilangi ambaye katika Serikali ya awamu ya tano alikuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, imefanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live