Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Picha/Video:Milioni 550 za Big Joe zilivyokabidhiwa leo kwa vijana wafanyabiashara

Video Archive
Sat, 7 Aug 2021 Chanzo: millardayo.com

NI Agosti 6, 2021 ambapo Mkurugenzi Mtendaji wa Clouds Media Group Joseph Kusaga amekabidhi rasmi Milioni 550 vijana 55 ili wakajiendeleze na kukuza Biashara zao.

“Kama Mungu amekupa nafasi ya kuwa mahali fulani itumie na kuwasaidia wengine, lakini mimi namshukuru Mungu kwa nafasi niliyoipata naweza tena kusema wengine wangepata nafasi hii wangeitumia vizuri ama vibaya“- Joseph Kusaga

“Nilisema kwamba ni lazima nihakikishe kwamba natoa nafasi iwezekanavyo kwa vijana wengi sana wapate nafasi ya kujiendeleza katika maisha yao, kwahiyo Vijana waliojitokeza ni wengi walikuwa wanafika Elfu moja lakini nawashukuru Fauzia, Reuben kwa kufanikisha kupata vijana 55″-Joseph Kusaga

“Na Vijana waliopata huu mchongo wa Big Joe pia msiwasahau Vijana wengine mkawashike mkono na kuwasaidia ili watimize ndoto zao”- Joseph Kusaga

.



.



.



.

MILIONI 550 ZA BIG JOE ZILIVYOKABIDHIWA LEO KWA VIJANA WAFANYABIASHARA
Chanzo: millardayo.com