Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Petit man alimwaga hili mbele ya waandishi kuhusu Esma Platnumz (video+)

Video Archive
Fri, 10 Sep 2021 Chanzo: millardayo.com

NI Petit man ambae hapo awali alitambulika mitandaoni baada ya kuwa na ukaribu na Mwigizaji Wema Sepetu, pia kuzaa na Esma Platnumz,.

Sasa leo  Septemba 9 ,2021 amekutana na Waandishi kuzungumza kuhusu arobaini ya mtoto wake aliezaa na mwanamke mwingine pamoja na kuelezea sakata lake na Esma lililowahi kuchukua sura tofauti baada ya wawili hao kuachana.

“Kiukweli Esma ni Mzazi mwenzangu na sina tatizo nae na baada ya mahusiano yake kuharibika alinitafuta na tulikaa na tukaongea lakini siwezi kuyaongea haya na kunitafuta huko ni kama mzazi mwenzangu”– Petitman

Chanzo: millardayo.com