Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

"Panya Road" waanika mbinu wanazotumia kudhuru raia na kupora (+Video)

Video Archive
Sun, 8 May 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mei 7, 2022 ambapo Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar limewakamata vijana 31 wanaojihusisha na matukio ya kiuhalifu maarufu kama Panya Road.

Huyu hapa kijana ambae anayetoka kwenye kikundi cha Uhalifu Panya Road akieleza mbinu wanazozitumia kutekeleza uhalifu wao.

Tazama Video akieleza kwa undani matukio yao;

Chanzo: www.tanzaniaweb.live