Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Panya Magawa atafutiwa mrithi wake (+Video)

Video Archive
Wed, 12 Jan 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Siku chache tangu kutangazwa kwa kifo cha Panya aliekuwa akitegua mabomu nchini Cambodia, Panya Magawa, ambae alipata mafunzo katika chuo cha SUA mkoani Morogoro.

Mkurugenzi wa kituo cha Apopo ambacho ndio hasa kinachojihusisha na utoaji mafunzo wa Panya hao, amesema wanaanda Panya ambae atamrithi Panya Magawa.

Tazama Video kwa undani kusikia walichozungumza;

Chanzo: www.tanzaniaweb.live