Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

"Paka na mbwa wapo Milioni 3 TZ, wengi wanatoka Iringa, ngozi ya kuku deal" (+video)

Video Archive
Wed, 17 Mar 2021 Chanzo: millardayo.com

Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi Prof. Elisante Ole Gabriel amewataka wadau wa Viwanda nchini kuichangamkia sekta ya Ngozi hususani kwa kuipa thamani ikiwemo kutumia wanyama kama Mbwa ambao wapo zaidi ya Mil.3 huku wengi wakiwa wanatoka mkoani Iringa.

Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi Prof. Elisante Ole Gabriel amewataka wadau wa Viwanda nchini kuichangamkia sekta ya Ngozi hususani kwa kuipa thamani ikiwemo kutumia wanyama kama Mbwa ambao wapo zaidi ya Mil.3 huku wengi wakiwa wanatoka mkoani Iringa. Prof. Ole Gabriel ameyasema hayo leo wakati wa kuzindua mafunzo ya mnyororo wa thamani kwa Wadau wa Ngozi Dar es Salaam.

Chanzo: millardayo.com