Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

PICHA 4:Majaliwa kwenye msiba wa Waziri Kwandikwa

WhatsApp Image 2021 08 04 At 5.48.28 PM 1 660x400.jpeg Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisaini kitabu cha maombolezo

Wed, 4 Aug 2021 Chanzo: millardayo.com

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema kifo cha aliyekuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa na Mbunge wa Ushetu, Elias Kwandikwa kimeacha pengo Serikali na Bungeni kwani marehemu alikuwa mchapakazi, mwadilifu na mtulivu katika utendaji kazi wake.

Amesema hayo leo Jumatano (Agosti 4, 2021) alipokwenda nyumbani kwa marehemu Kwandikwa, Kibaha Picha ya Ndege mkoani Pwani kutoa pole kwa familia.

“Mchango wake wa utendaji katika Serikali na Bunge ni mkubwa sana alifanikiwa kuwavutia wengi kwa tabia yake ya upole, unyenyekevu na uzingatiaji wa taratibu na sheria za ik utumishi kila alipopangiwa kufanya kazi, hivyo kifo chake ni pigo kwa taifa”-Waziri Mkuu Kassim Majaliwa

.

.



.

Chanzo: millardayo.com