Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Nyumbani kwa MC Gara B, utajiri wake, MC ghari Tanzania aliepitia msoto

Video Archive
Tue, 19 Oct 2021 Chanzo: AyoTV

Godfrey Deogratias Rugarabam (MC Gara B) utakua umemuona sana kwenye harusi nyingi akisherehesha kama MC nchini Tanzania, vilevile ni mmoja wa Vijana wa Tanzania pia waliotumia mitandao ya kijamii vizuri kutengeneza majina yao (kuji-brand) na kuonesha kazi zao, leo ameongea na AyoTV na kutueleza mengi tusiyoyafahamu kuhusu yeye ikiwemo kazi ya ualimu kwenye shule ya Sekondari ya Kata.

Chanzo: AyoTV