Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

"Nimeona miujiza ni ajabu sana, huwezi amini usipoona" Mwinyi (+video)

Video Archive
Tue, 6 Jul 2021 Chanzo: millardayo.com

Rais mstaafu wa Awmu ya Pili Ali Hassan Mwinyi akiwa kwenye mradi wa kufua umeme kwa njia ya maji wa megawati 2115 wa Julius Nyerere amesema kuwa, Taifa linajivunia ujenzi wa mradi na kusistiza kuwa, vizazi vya sasa vina kila sababu kujivunia mradi huo kwani utafungua fursa nyingi za kimaendeleo.

Rais mstaafu wa Awmu ya Pili Ali Hassan Mwinyi akiwa kwenye mradi wa kufua umeme kwa njia ya maji wa megawati 2115 wa Julius Nyerere amesema kuwa, Taifa linajivunia ujenzi wa mradi na kusistiza kuwa, vizazi vya sasa vina kila sababu kujivunia mradi huo kwani utafungua fursa nyingi za kimaendeleo. “Vijana wetu wanatakiwa kujivunia mradi huu kwani sisi sasa ni wazee hivyo manufaa makubwa ya mradi huu ni vijana wa sasa utawasaidia sana kuwa na maendeleo, hivyo cha msingi ni kuongeza bidii katika elimu”  Mwinyi

Chanzo: millardayo.com