Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ngedere, bundi walivyokata umeme wa treni ya SGR, safari ikasimama - Video

Video Archive
Wed, 31 Jul 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Shirika la Reli Tanzania (TRC) limeripoti hitilafu ya umeme kwenye treni yake ya kisasa ya SGR iliyosababishwa na wanyama aina ya ngedere na bundi.

Kulingana na TRC, hitilafu hiyo iliilazimu treni ya SGR kusitisha safari zake kati ya Dar es Salaam na Dodoma kwa saa mbili.

"Taarifa za awali zinaonesha kuwa hitilafu za aina hiyo husababishwa na wanyama (ngedere) au ndege (bundi) wanapogusa nyaya za umeme zilizotandazwa juu ya reli (overhead catenary system)," TRC.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live