Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ndalichako kaanza kuwalipia ada waliopata division one jimboni kwake- VIDEO

Video Archive
Mon, 17 Jan 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

March 3, 2021 aliyekua Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia ambaye pia ni Mbunge wa Kasulu Mjini, Prof.Joyce Ndalichako alitoa ahadi kwa watoto wa Kike wanaosoma katika Shule za Serikali (katika Jimbo la Kasulu Mjini) watakaopata Daraja la Kwanza (Division One) kwa matokeo ya kidato cha nne katika kipindi cha miaka mitano ya Ubunge wake, wote atakuwa anawalipia ada ya kidato cha tano na sita.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live