Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Nape Nnauye baada ya kuapishwa "litakuwa Bunge la moto (+video)

Video Archive
Wed, 11 Nov 2020 Chanzo: millardayo.com

Kutoka Bungeni Dodoma leo November 10, 2020 nakusogezea stori inayomhusu Mbunge wa Mtama Nape Nnauye baada ya kuapishwa nje ya ukumbi wa Bunge amezungumza na waandishi wa habari.

Kutoka Bungeni Dodoma leo November 10, 2020 nakusogezea stori inayomhusu Mbunge wa Mtama Nape Nnauye baada ya kuapishwa nje ya ukumbi wa Bunge amezungumza na waandishi wa habari. “Wakati bunge lilikuwa la chama kimoja lilikuwa la moto kuliko la Vyama vingi, wakati mwingine mnajilinda zaidi kuliko kuadvance, hoja zote zilizotikisa nchi zilitoka CCM, la pili Kaliba ya watu waliokuja ni vijana wadogo chini ya 40, mtazamo wangu ni kuwa hili bunge litakuwa la moto kuliko wakati wowote” Nape Nnauye, Mbunge wa Mtama

Chanzo: millardayo.com