Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Nape, Makamba watumbuliwa

Nape, Makamba Watumbuliwa.png Nape, Makamba watumbuliwa

Mon, 22 Jul 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa mawaziri wawili, Nape Nnauye (Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari) na January Makamba wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.

Mbali na hao, Rais Samia ametengua uteuzi wa Stephen Byabato aliyekuwa Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.

Utenguzi huo umefanyika usiku huu wa leo Jumapili, Julai 21,2024 kupitia taarifa kwa umma iliyotolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live