Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

"Nafurahi kuwaona Wabunge wasanii" Mwana FA, Babu Tale, Keisha wapo Bungeni (+video)

Video Archive
Sat, 14 Nov 2020 Chanzo: millardayo.com

Rais Dr. John Magufuli afurahishwa kuwaona Wasani katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania “Tutaendeleza sanaa, nafurahi kuona Wabunge wengine Wasanii wapo Bungeni, nawatakia kila la kheri Taifa Stars kwenye Mechi yao na Tunisia leo, namtakia kheri pia Hassani Mwakinyo ambaye anapambano leo, Watanzania tunataka ushindi tumechoka kushindwashindwa”.

Rais Dr. John Magufuli afurahishwa kuwaona Wasani katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania “Tutaendeleza sanaa, nafurahi kuona Wabunge wengine Wasanii wapo Bungeni, nawatakia kila la kheri Taifa Stars kwenye Mechi yao na Tunisia leo, namtakia kheri pia Hassani Mwakinyo ambaye anapambano leo, Watanzania tunataka ushindi tumechoka kushindwashindwa”. GWAJIMA ALIPUA BUNGE KWA VICHEKO, MAGUFULI HOI, UMEWAGEUZA CHINI JUU, MBWA ACHA WABWEKE

Chanzo: millardayo.com