Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Nabii aliyetabiri vita ya Urusi na Ukraine mwaka 2015 afunguka mazito

Video Archive
Tue, 8 Mar 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mtumishi wa Mungu machachari mitandaoni maarufu kwa jina la Nabii Eliya, ambaye mwaka 2015 aliwahi kuzungumzia kuibuka kwa vita kati ya Urusi na Ukraine, ameibuka tena na kuzungumzia kitakachotokea katika vita inayoendelea kati ya Urusi na Ukraine.

Mtumishi wa Mungu machachari mitandaoni maarufu kwa jina la Nabii Eliya, ambaye mwaka 2015 aliwahi kuzungumzia kuibuka kwa vita kati ya Urusi na Ukraine, ameibuka tena na kuzungumzia kitakachotokea katika vita inayoendelea kati ya Urusi na Ukraine. Nabii Eliya amesema kuwa lengo la Urusi ni kuichukua Ukraine na baadaye taifa la Uturuki na kwamba hakuna taifa lolote la kuizuia Urusi kuichukua Ukraine katika vita hii ya sasa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live