Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mwijaku amtaja Mwanaume atakayemuoa Hamisa Mobetto

Video Archive
Tue, 26 Oct 2021 Chanzo: eatv.tv

DC wa Instagram Mwijaku anasema ndoa ya msanii Hamisa Mobetto itafanyika mwaka 2022 na haolewi na mwanaume anayetokea bara la Africa.

Mwijaku ambaye anajiita kaka wa Hamisa Mobetto anasema ndoa hiyo itafanyika bila kukusanya michango yoyote na MC atakuwa yeye mwenyewe.

Zaidi tazama hapa kwenye video.  

Chanzo: eatv.tv