Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

TV

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mwanamke akutwa ameuawa Gesti

Mama Mtoto Pic Data Mwanamke akutwa ameuawa Gesti

Thu, 17 Oct 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamke mmoja aliyetambulika kwa jina la Aisha Athumani amekutwa ameuwawa ndani ya gesti maeneo ya Sinza Mori, Jijini Dar es salaam.

Taarifa za awali zinaeleza mwanamama huyo ni mhudumu wa gesti hiyo na alimkaribisha moja ya wateja wake chumbani kwake ndipo tukio hilo likatokea.

Taarifa zaidi zitakujia hivi karibuni kupitia hapa hapa Tanzaniaweb.live

Chanzo: www.tanzaniaweb.live