Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mwanafunzi wa kwanza Kidato cha Nne, magumu aliyopitia, ndoto zake (+video)

Video Archive
Sun, 17 Jan 2021 Chanzo: millardayo.com

AyoTV na millardayo.com imefanya EXCLUSIVE INTERVIEW na Binti Justina Gerald mwenye miaka 15 ambaye ni mwanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Canossa na ndie alieshika nafasi ya kwanza kwa wasichana katika Mtihani wa Kidato cha Nne mwaka 2020 amesema anataka kuwa Mhandisi wa Mafuta.

Ukiacha yeye kuwa wa kwanza kwa wasichana katika matokeo hayo, Justine ameshika nafasi ya pili katika orodha ya wanafunzi 10 bora kitaifa.

“Kwanza ni kumtanguliza Mungu kwa kila jambo, pia ni kuweka nia na malengo na kuhakikisha nayatekeleza na pia kushirikiana na wanafunzi wenzangu na walimu na wazazi, nataka kuwa Mhandisi wa Mafuta ya Petroli” Justina, itazame stori yote hapa.

Chanzo: millardayo.com