Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Mwanafunzi aliepata Milioni 80 na kufungua kiwanda cha Milioni 60 (+video)

Video Archive
Mon, 8 Mar 2021 Chanzo: millardayo.com

Edga Edmund ni Kijana wa kitanzania mwenye umri wa miaka 20 na alipata nafasi ya kushinda kwenye mashindano ya ubunifu kwa nyakati tofauti na kupata zaidi ya Tsh. Milioni 80 ambapo alirejea Tanzania kutokea kwenye Chuo kilichopo Afrika Kusini na kufungua kiwanda chake chenye thamani ya Tsh. Milioni 60 cha kutengeneza makochi kwa kutumia takataka za plastiki

Edga Edmund ni Kijana wa kitanzania mwenye umri wa miaka 20 na alipata nafasi ya kushinda kwenye mashindano ya ubunifu kwa nyakati tofauti na kupata zaidi ya Tsh. Milioni 80 ambapo alirejea Tanzania kutokea kwenye Chuo kilichopo Afrika Kusini na kufungua kiwanda chake chenye thamani ya Tsh. Milioni 60 cha kutengeneza makochi kwa kutumia takataka za plastiki Edga anasema amebuni matofali yanayotumia plastiki pamoja na kutengeneza samani kwa kutumia plastiki na ameanza kupata fedha kupitia kazi hiyo na kuajiri Vijana watano anaowalipa kwa mwezi na mwezi wa nane mwaka huu anaelekea Marekani kwa ajili ya kuchukua degree baada ya kupata Ufadhili.

Chanzo: millardayo.com