Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mwanafunzi akutwa na Risasi kwenye koti (+Video)

Video Archive
Thu, 28 Jul 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Jeshi la Polisi Mkoani Mbeya, linamshikilia Leodger Mbunda (17), Mwanafunzi wa kidato cha nne katika Shule ya Sekondari Mbalizi kwa tuhuma za kumkuta na Risasi ya SMG katika mfuko wake wa koti.

Jeshi la Polisi Mkoani Mbeya, linamshikilia Leodger Mbunda (17), Mwanafunzi wa kidato cha nne katika Shule ya Sekondari Mbalizi kwa tuhuma za kumkuta na Risasi ya SMG katika mfuko wake wa koti. Tukio hilo limetokea Julai 25 majira ya saa moja asubuhi baada ya upekuzi na mtuhumiwa anaendelea kushikiliwa kwa mahojiano.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live