Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mwanafunzi Aliyeongoza Tanzania Aliomba Kuonana Na Hayati Magufuli-Video

Video Archive
Sun, 31 Oct 2021 Chanzo: globalpublishers.co.tz

Mwanafunzi Aliyeongoza Tanzania Aliomba Kuonana Na Hayati Magufuli-Video October 31, 2021 by sylus

Mwanafunzi Aliyeongoza Tanzania Aliomba Kuonana Na Hayati Magufuli-Video October 31, 2021 by sylus Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) leo Jumamosi Oktoba 30, 2021 limetangaza matokeo ya Mtihani wa Darasa la Saba mwaka 2021 ambapo mwanafunzi aliyehitimu shule ya msingi St Anne Marie iliyopo mkoani Dar es Salaam, Eluleki Evaristo Haule limemtangaza ndiye aliyeibuka kinara katika matokeo ya mtihani ya Darasa la Saba 2021.

Chanzo: globalpublishers.co.tz