Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mwalimu alietapeliwa Milioni 16 TAKUKURU wazirejesha, afunguka wakopeshaji walivyomzungusha (+video)

Video Archive
Tue, 8 Dec 2020 Chanzo: millardayo.com

December 8, 2020 TAKUKURU Mkoa wa Tabora imefanikiwa kurejesha kiasi cha Shilingi Milioni 9,507,00 kwa Walimu watatu ikiwa ni fedha zilizookolewa kutoka kwa kampuni za mikopo zilizokuwa zimechukuliwa kinyume na taratibu.

Akitoa taarifa kwa vyombo vya habari mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Tabora Mussa Chaulo amewataja walimu wastaafu waliorejeshewa fedha hizo kuwa ni Sophia Mathew, Anna Mtaturu na Regina Mponeja.

Aidha mmoja wa walimu hao Sophia Mathew amesema alikopa kwa kampuni tatu tofauti kiasi cha Milioni 15 na alitapeliwa kiasi cha Milioni 61.

Chanzo: millardayo.com