Menu ›
Habari
Sun, 1 May 2022
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Mtoto mchanga aliyeachwa na marehemu Mbunge wa viti maalum mkoa wa Rukwa, Irene Ndyamkama (Pichani), amefariki dunia jana Aprili 30, 2022, baada ya kuishi kwa siku saba. Mbunge Irene alifariki dunia Aprili 24, 2022, katika hospitali ya Tumbi wakati akipatiwa matibabu.

Related Articles: