Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mtoto amfikisha Baba yake Mahakamani akidai urithi (+video)

Video Archive
Wed, 23 Jun 2021 Chanzo: millardayo.com

Kijana wa Kitanzania, Abas Khalid amemfikisha Baba yake mzazi Khalid Segeleje katika Mahakama ya Wilaya Kigoma akidai apewe urithi katika vitu anavyomiliki Baba yake ambavyo ni nyumba na shamba la Michikichi lenye hekari 20.

Kijana wa Kitanzania, Abas Khalid amemfikisha Baba yake mzazi Khalid Segeleje katika Mahakama ya Wilaya Kigoma akidai apewe urithi katika vitu anavyomiliki Baba yake ambavyo ni nyumba na shamba la Michikichi lenye hekari 20. Katika kesi hiyo ya mirathi namba 8/2021 ilisikilizwa mbele Hakimu Mgawishi Kenneth Muetembel.

Chanzo: millardayo.com