Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Mtanzania aliyeacha mshahara wa mill.30 benki ya dunia (+video)

Video Archive
Mon, 21 Jun 2021 Chanzo: millardayo.com

Jefrey Jessy maarufu kwa jina la (Speshoz) ni kijana wa kitanzania aliyeacha kazi benki ya dunia ambapo alikuwa akilipwa zaidi ya million 30 kwa mwaka na akaamua kufungua ofisi yakushona nguo ambapo ameweza kuwavalisha watu mbalimbali nguo ikiwemo msanii Diamond Platnumz pamoja na hayti Dkt John Magufuli.

Jefrey Jessy maarufu kwa jina la (Speshoz) ni kijana wa kitanzania aliyeacha kazi benki ya dunia ambapo alikuwa akilipwa zaidi ya million 30 kwa mwaka na akaamua kufungua ofisi yakushona nguo ambapo ameweza kuwavalisha watu mbalimbali nguo ikiwemo msanii Diamond Platnumz pamoja na hayti Dkt John Magufuli. pamoja na biashara nyingine ambazo anazifanya ameamua kufungua kiwanda cha vinywaji katika wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro ambapo amesema fedha nyingi anayoipata ameamua kuwekeza kwenye biashara

Chanzo: millardayo.com