Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Msigwa, Sugu wamshtaki AG na Kamishina Magereza (+video)

Video Archive
Thu, 3 Jun 2021 Chanzo: millardayo.com

Waliokuwa wabunge wa Iringa na Mbeya Mjini, Mchungaji Peter Msigwa na Joseph Mbilingi “SUGU” wamefungua kesi za Kikatiba katika Mahakama Kuu ya Tanzania masjala Kuu ya Dar es Salaam dhidi ya Mwanasheria Mkuu na Kamishina wa Magereza Tanzania.

Waliokuwa wabunge wa Iringa na Mbeya Mjini, Mchungaji Peter Msigwa na Joseph Mbilingi “SUGU” wamefungua kesi za Kikatiba katika Mahakama Kuu ya Tanzania masjala Kuu ya Dar es Salaam dhidi ya Mwanasheria Mkuu na Kamishina wa Magereza Tanzania. Wawili hao wamefungua kesi hiyo wakipinga ukiukwaji wa haki zao za msingi wakati wa kutumikia adhabu zao waliopewa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya.

Chanzo: millardayo.com