Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mrembo aliyenyongwa hotelini, ndugu wa marehemu wasimulia - Video

Video Archive
Mon, 20 Jun 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Matukio ya wanawake kuuawa kikatili na wapenzi au waume zao yameendelea kutikisa, baada ya mwanamke mmoja mmiliki wa saluni ya Madam Beauty Point, anayefahamika kwa jina la Leonia Julius, kudaiwa kunyongwa na mpenzi wake wakiwa hotelini.

Matukio ya wanawake kuuawa kikatili na wapenzi au waume zao yameendelea kutikisa, baada ya mwanamke mmoja mmiliki wa saluni ya Madam Beauty Point, anayefahamika kwa jina la Leonia Julius, kudaiwa kunyongwa na mpenzi wake wakiwa hotelini. Tazama video ndugu wa marehemu akisimulia ilivyokuwa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live