Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

TV

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mke wangu ni mtoto wa Askari Polisi – Rais Magufuli

6026 Mke Magu 601x400 TZW

Sun, 8 Apr 2018 Chanzo: bongo5.com

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amesema kuwa mke wake alikuwa mtoto wa askari polisi hivyo anayatambua maisha ya askari polisi.



Rais Magufuli ameyasema hayo mjini, Arusha wakati wa Uzinduzi wa nyumba za Jeshi la Polisi mkoani Arusha ambapo ametoa Bilioni 10 kwa Jeshi la polisi kwaajili ya kujenga nyumba za polisi wenye vyeo vya chini.

“Mimi nimeoa kambini, mke wangu ni mtoto wa askari polisi, na baba mkwe amefaiki akiwa sajenti…ninayajua maisha ya polisi. Leo nitatoa shilingi bilioni 10 ili zikasaidie kujenga nyumba za polisi wenye vyeo vya chini,” amesema Rais Magufuli.

Chanzo: bongo5.com