Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mke auawa kikatili nyumbani, mumewe atoweka, Majirani wasimulia (video+)

Video Archive
Wed, 12 Jan 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Hospital ya taifa ya Afya ya Akili Mirembe imetoa taarifa ya kufariki kwa aliyekuwa mtumishi wa Hospital hiyo Rufina Komba aliyekutwa ameuwawa kikatili nyumbani kwake Mchese jijini Dodoma.

Majirani wamesema taarifa ya tukio hilo wameipata majira ya saa saba usiku na mumewe akimbia kusikojulikana.

Sikiliza majirani wakizungumzia tukio hilo;

Chanzo: www.tanzaniaweb.live