Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#MgaoMajiDar: Waziri Mkuu atembelea vyanzo vya maji Ruvu Chini na Ruvu Juu

Video Archive
Mon, 15 Nov 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Novemba 15, 2021 amekagua vyanzo vya maji vya Ruvu chini na Ruvu juu ili kukagua hali ya uzalishaji na usambazaji wa maji katika Mikoa ya Dar es Salaam na Pwani.

Waziri Mkuu amewataka wasimamizi wa mabonde ya maji nchini wasikae wafuatilie Mito katika mabonde hayo badala ya kukaa ofisini ili kuilinda Mito hiyo na iweze kutiririsha maji muda wote.

Ziara hii ya Waziri Mkuu inakuja wakati ambao jiji la Dar es salaam limekumbwa na mgao mkali wa maji ambao ulitangazwa na Mamlaka ya Maji DAWASA.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live