Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mfahamu Mchinjaji Mkuu wa Serikali ya Saudi Arabia- Video

Video Archive
Mon, 27 Sep 2021 Chanzo: globalpublishers.co.tz

JINA lake halisi anaitwa Muhammad Saad Al Beshi au maarufu kama Al Beshi, ni mwanaume mweusi, mrefu mwenye mwili mkubwa, aliyezaliwa nchini Saudi Arabia mwaka 1961.

JINA lake halisi anaitwa Muhammad Saad Al Beshi au maarufu kama Al Beshi, ni mwanaume mweusi, mrefu mwenye mwili mkubwa, aliyezaliwa nchini Saudi Arabia mwaka 1961. Kama ilivyoelezwa, huyu ndiye mtekelezaji mkuu wa hukumu ya kifo katika Serikali ya Saudi Arabia! Ukihukumiwa kifo nchini humo, basi huyu ndiye anayetekeleza hukumu hiyo kwa kukukata kichwa na jambia lenye makali mithili ya wembe, pigo moja tu lazima kichwa na kiwiliwili vitengane!

Chanzo: globalpublishers.co.tz