Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mfahamu Hans Pope: Alitaka Kupindua Nchi, Baba Yake Aliawa - Video

Video Archive
Tue, 14 Sep 2021 Chanzo: globalpublishers.co.tz

Zacharia Hans Pope amefariki dunia Septemba 11, mwaka huu na ameacha pengo hasa kwa wanamichezo lakini ana historia ndefu kisiasa ambayo wengi hawaijui.

Zacharia Hans Pope amefariki dunia Septemba 11, mwaka huu na ameacha pengo hasa kwa wanamichezo lakini ana historia ndefu kisiasa ambayo wengi hawaijui. Hans Pope aliwahi kuhukumiwa kifungo cha maisha kwa kosa la kutaka kumpindua Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere. Hili vijana wengi hawalijui.

Chanzo: globalpublishers.co.tz