Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mch. Msigwa baada ya kumsifia Rais Magufuli, aomba radhi (+video)

Video Archive
Fri, 4 May 2018 Chanzo: bongo5.com

Mbunge wa Iringa Mjini Peter Msigwa aomba radhi kwa video iliyosambaa leo ikionyesha akimsifia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli kwa utendaji kazi wake bila kuchagua chama chochote.



Hii ndio Video iliyomuonyesha Mbunge wa Iringa Mjini, Peter Msigwa akimsifia Rais Magufuli

“Ufafanuzi wangu bado haueleweki na ni heshima kuzingatia maumivu yenu kwa mkanganyiko huu. Nagundua rafiki zangu na wanachama wetu wanaugua.Basi niseme nini?Naomba nisameheni sana. The cause we are fighting for is more important than my personality. I take full responsibility,” ameandika Msigwa kwenye ukurasa wake wa Twitter.

Hata hivyo baada ya clip hiyo kusambaa akimfia Rais Magufuli wafuasi wa Chama hicho wamekuwa wakiandika vitu vingi wakitoa ushauri kwa Mbunge wengine wakieleza kuwa amekomaa kisiasa.





Loading...
Chanzo: bongo5.com