Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mbunge: Bustani sio kilimo, limeni muone

Mbogamboga Kilimo Mbunge: Bustani sio kilimo, limeni muone

Wed, 8 Feb 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mbunge wa Tandahimba Katani Ahmed Katani ametamani Wabunge wote kujaribu shughuli ya kilimo ili waweze kumtetea Mkulima kwa uchungu.

Katani amesema Wabunge wengi kwenye nyumba zao wameweka bustani hivyo wasichukulie bustani za maua ndio kilimo na amewaomba kama wanaweza wajaribu hata hekari 2 kila Mbunge ili waone adha za Wakulima wa Tanzania.

Katani ametoa kauli hiyo Bungeni Dodoma wakati akichangia mjadala kuhusu taarifa za Kamati za Bunge za Uwekezaji na Mitaji (PIC), Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) na Hesabu za Umma (PAC).

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: