Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Mbunge Aanika Sababu za Wanaume Kukosa Nguvu za Kiume - Video

Video Archive
Thu, 3 Jun 2021 Chanzo: globalpublishers.co.tz

Mbunge Aanika Sababu za Wanaume Kukosa Nguvu za Kiume – Video June 3, 2021 by Global Publishers

Mbunge Viti Maalum anayewakilisha Vyuo Vikuu, Dkt. Tea Ntala Amesema Tatizo la ukosefu wa lishe Bora kwa wanaume kukosa limekuwa likisababisha kwa kiasi kikubwa ukosefu wa nguvu za kiume na kuwataka wanaume kubadilisha mtindo wa ulaji wa chakula kwa kula chakula bora.

Chanzo: globalpublishers.co.tz