Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mbowe, Sugu kutembelewa na viongozi wakuu Chadema Pasaka (+video)

Video Archive
Sat, 31 Mar 2018 Chanzo: bongo5.com

Baadhi ya Viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema) wamejigawa wengine wataenda mkoani Mbeya kumtembela Sugu gerezani na wengine wataenda Segerea kumtembelea Mwenyekiti wao na viongozi wengine wa Chama hicho.



Akizungumza na waandishi wa habari leo, Mwenyekiti wa Baraza la vijana Chadema (BAVICHA)Taifa, Patric Sosopi amesema kuwa ni haki yao kuwatembelea viongozi hao gerezani.

Chanzo: bongo5.com