Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mbovu kwa miaka 10, historia inaandikwa meli ya MV Butiama yaanza safari (+video)

Video Archive
Mon, 17 Aug 2020 Chanzo: millardayo.com

Ni zaidi ya Miaka kumi  tangu kusimama kwa huduma ya usafiri wa Meli ya Mv. Butiama ambayo ilikuwa ikifanya safari zake kutoka Mwanza kwenda Nansio (Ukerewe), kutokana na ubovyo wa meli hiyo, historia mpya inaandikwa kwa kuanza tena Safari ya Meli ya New Butiama kutoka Mwanza kwenda Nansio Ukerewe.

Ni zaidi ya Miaka kumi  tangu kusimama kwa huduma ya usafiri wa Meli ya Mv. Butiama ambayo ilikuwa ikifanya safari zake kutoka Mwanza kwenda Nansio (Ukerewe), kutokana na ubovyo wa meli hiyo, historia mpya inaandikwa kwa kuanza tena Safari ya Meli ya New Butiama kutoka Mwanza kwenda Nansio Ukerewe. AyoTV imezungumza na Mtendaji Mkuu wa huduma za Meli Erick Hamissi pamoja na Nahodha wa Meli  Thomas Mgaya.

Chanzo: millardayo.com