Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mauaji mengine DSM, walinzi wauawa kamanda ataja sababu (video+)

Video Archive
Fri, 27 Aug 2021 Chanzo: millardayo.com

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya DSM, linamshikilia mtu mmoja anayejulikana kwa jina la Mohammed Jumaa kwa tuhuma za mauaji ya Walinzi wawili wa Kampuni ya Forte Security ambao ni Eliakimu Moro na Sanko Bakary.

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya DSM, linamshikilia mtu mmoja anayejulikana kwa jina la Mohammed Jumaa kwa tuhuma za mauaji ya Walinzi wawili wa Kampuni ya Forte Security ambao ni Eliakimu Moro na Sanko Bakary. Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya DSM, ACP Muliro Jumanne Muliro amesema tukio hilo limetokea Agosti 26, 2021 saa 12 jioni maeneo ya Tungi Wilaya ya Kigamboni.

Chanzo: millardayo.com