Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Maria Sarungi, Fatma Karume kukutana na kikosi kazi cha Rais Samia

Sarungi Karume Fatma Karume na Maria Sarungi

Sun, 8 May 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kikosi kazi kilichoundwa na Rais Samia Suluhu Hassan kuhusu masuala ya demokrasia ya vyama vingi vya siasa nchini kitakutana na wanaharakati machachari Fatma Karume na Maria Sarungi Mei 13 na 16 kabla ya kukutana na mtandao wa Wanawake wa Katiba, Uchaguzi na Uongozi Tanzania, Chama cha Wafugaji Tanzania, Chama cha Wakulima Tanzania na Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live