Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mapya Mtoto mwenye utata wa jinsia "kafanyiwa upasuaji, tumefukuzwa" (+video)

Video Archive
Wed, 11 Nov 2020 Chanzo: millardayo.com

Ni takribani miezi minne imepita tangu tuliporipoti kuhusu Mtoto mwenye utata wa jinsia aliyezaliwa Mkoani Morogoro, tumezungumza tena na Mama Mzazi wa Mtoto anayeitwa Jackson ili kujua maendeleo ya Mtoto huyo.

“Nawashukuru Watanzania wote, amefanyiwa upasuaji wa kwanza bado wa pili, naomba mnisaidie chakula, pia pale nilipokuwa naishi nimeambiwa niondoke mwenyewe anataka ajenge, sina pakuishi” Mama Jackson

Kumsaidia Mama Jackson, tumia nambari 0715 609 319 Jina ni Gladness Lyamuya.

Chanzo: millardayo.com