Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mange Kimambi Amlilia Marehema Mwele Malecela

Malecelaa Mange Kimambi Amlilia Marehema Mwele Malecela

Fri, 11 Feb 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

KUFUATIA kifo cha Dkt. Mwele Ntuli Malecela aliyefariki dunia, jana Alhamisi, Februari 10, 2022, Geneva mchini Uswisi, mwanamitandao Mange Kimambi ambaye ni ndugu wa karibu wa marehemu ameandika haya;

"Mama yanguuuuuuuuuuuu, mwenzenu sina mama tenaaaaaaaa. Nimekuwa yatima sasa…….. Mama yanguuuuuuuuuuuuuuuuuuu….. Jamani mama yanguuuuuuuuuuuuuuuuuuu. Mama jamaniiiiiiiiiii nilikuwa ndo naondoka nakuja Geneva mamaaaaaaaaaaaaa. Jamani ungenisubiri mama yanguuuuuuuu. Mamaaaaaaaaaaaaaa.

"Jamani mi sijui nafanyajeeeeeeeeeeeeee….Mama yangu jamaaaniiiii. Uwiiiiiiiiiiiiiii nakufaaaaaaaaaaa. My mom jamaniiiiiiii………Amkaaaaaa Dr. amkaaaaaaaaaaaaaa. Uwiiiiiiiiii jamaniiiiiiiii……" amesema Mange Kimambi.

Mwele Ntuli Malecela alizaliwa tarehe 26 Machi 1963, alikuwa Mkurugenzi wa Taasisi ya Tafiti za kiafya Tanzania (NIMRI). Aliwania nafasi ya mgombea wa uraisi kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2015.

Kuanzia Aprili 2017 Mwele Malecela alikua akifanya kazi na Shirika la Afya Duniani (WHO) ambapo alikua Mkurugenzi wa Udhibiti w a Magonjwa Yasiyopewa Kipaumbele.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live