Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mama wa mwanafunzi alieongoza kidato cha nne afichua siri (+video)

Video Archive
Sun, 17 Jan 2021 Chanzo: millardayo.com

AyoTV na millardayo.com imefanya interview na Mama wa Binti Justina Gerald ambaye mwanae mwenye miaka 15 ndie mwanafunzi alieshika nafasi ya kwanza kwa wasichana katika Mtihani wa Kidato cha Nne mwaka 2020.

AyoTV na millardayo.com imefanya interview na Mama wa Binti Justina Gerald ambaye mwanae mwenye miaka 15 ndie mwanafunzi alieshika nafasi ya kwanza kwa wasichana katika Mtihani wa Kidato cha Nne mwaka 2020. Ukiacha Mwanae kuwa wa kwanza kwa wasichana katika matokeo hayo, Justine ameshika nafasi ya pili katika orodha ya wanafunzi 10 bora kitaifa.

Chanzo: millardayo.com