Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mama na mwanae wafia guest akutwa baada ya siku nne (+video)

Video Archive
Sat, 6 Mar 2021 Chanzo: millardayo.com

Irene Lyimo mkazi wa kata ya Kilema Kaskazini Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro na mwanaye wa miaka miwili wamekutwa wamefariki katika nyumba ya kulala wageni katika eneo la kyala kata ya Marangu Mashariki

Irene Lyimo mkazi wa kata ya Kilema Kaskazini Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro na mwanaye wa miaka miwili wamekutwa wamefariki katika nyumba ya kulala wageni katika eneo la kyala kata ya Marangu Mashariki AyoTV imefika kwenye gesti hiyo na imemkuta Dada Anna ambaye aliwahudumia nakusema walilipa elfu 15 kwa ajili ya malipo ya kulala siku tatu kwa kuwa chumba ni elfu tano kwa siku akiwa na mtoto wa miaka miwili pamoja na mwanaume mmoja lakini mwanaume huyo aliondoka usiku.

Chanzo: millardayo.com