Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mama Mzazi wa Mtoto Aliyeuawa Kisa Elfu 3, Amwaga Machozi

Video Archive
Wed, 17 Nov 2021 Chanzo: Global TV Online

Wakati Jeshi la Polisi mkoani Arusha likimshikilia kijana, Ibrahim Shaba, kwa tuhuma za mauaji ya mwanafunzi aliyekuwa akisoma katika shule ya sekondari Suye mkoani Arusha, Evance Florian, mwenye umri wa miaka 13.

wazazi wake wametoa kauli kuwa hawatapokea mwili hadi mwili huo utakapofanyiwa 'prosmotamu'.

mtoto Evance alipigwa kichwani hadi kufa kisa shilingi 3000, na familia imekanusha taarifa zilioripotiwa kuwa marehemu aliuguwa hadi mauti kumkuta.

Chanzo: Global TV Online