Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mama Lulu Diva Azikwa Muheza, Tanga

Video Archive
Tue, 21 Dec 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwili wa mama mzazi wa msanii @luludivatz tayari umezikwa nyumbani kwao Mafele Muheza mkoani Tanga, leo mchana baada ya kufariki dunia siku ya juzi Jijini Dar es salaam.

Mwili wa mama mzazi wa msanii @luludivatz tayari umezikwa nyumbani kwao Mafele Muheza mkoani Tanga, leo mchana baada ya kufariki dunia siku ya juzi Jijini Dar es salaam. Mbunge wa Muheza Hamisi Mwinjuma Mwana Fa, Irene Uwoya, Whozu, Petitman Wakuache, Aristotee na Alice Kela ni baadhi ya mastaa waliojitokeza kwenye mazishi ya mama yake Lulu Diva.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live