Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mama Karume atua Jangwani

Haji Yanga Ms Mama Karume atua Jangwani

Thu, 25 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mjumbe wa kudumu wa Baraza la wadhamini wa Yanga, Mama Fatma Karume leo amewasili makao makuu ya klabu Jangwani na kupokelewa na Makamu wa Rais Arafat Haji, Mjumbe wa Kamati ya Utendaji Alex Ngai, pamoja na Mtendaji Mkuu, Andre Mtine.

Mama Karume amezungumzia mambo mbalimbali ya maendeleo ya klabu hiyo akiwa na viongozi hao.

Mama Karume ameridhishwa na kufurahishwa na maendeleo ya Ujenzi wa Ofisi za Makao Makuu ya klabu na kupongeza jitihada za uongozi chini ya Rais wake Eng. Hersi Said .

Chanzo: www.tanzaniaweb.live