Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Makonda amjulia hali mama mzazi sa Hayati Magufuli

Makonda Mama Magufuli Makonda amjulia hali mama mzazi sa Hayati Magufuli

Sun, 12 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa (CCM) Paul Makonda akiendelea na ziara yake katika mikoa ya Kanda ya Ziwa amefika Chato Geita na kumjulia hali mama Suzana Magufuli ambaye ni mama mzazi wa aliyekuwa Rais wa awamu ya 5 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli.



Makonda alipata nafasi yakumuombea mama Magufuli afya njema azidi kuimarika.



Makonda anaendelea na ziara yake katika mikoa ya Kanda ya ziwa inayobeba malengo kadhaa kama vile kujitambalisha kwa wananchi na wanachama wa CCM katika mikoa hiyo lakini pia kutatua kero za wanyonge papo kwa papo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live