Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Makomandoo Mbele ya Rais Samia na Mwinyi na Mitungi ya Gesi

Video Archive
Wed, 12 Jan 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kikundi cha Komando kikipita kutoa heshima wakati wa Maadhimisho ya miaka 58 ya Mapinduzi ya Zanzibar yanayofanyika leo Januari 12, 2022 katika uwanja wa Amaani Karume Zanzibar.

Ni Maadhimisho ya miaka 58 ya Mapinduzi ya Zanzibar yanayofanyika katika uwanja wa Amaani Karume Zanzibar.

Mgeni Rasmi ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Hussein Mwinyi ambapo pia Hafla hiyo pia imehudhuriwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live