Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Makamu wa Rais amuagiza Makamba "Tanesco tutafagia wote narudia mara ya mwisho"

Video Archive
Thu, 23 Sep 2021 Chanzo: millardayo.com

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Philip Mpango amemuagiza Waziri wa Nishati, January Makamba hadi kufikia October 15, 2021 awe amefika Kigoma ili kutatua kero ya kukatikakatika kwa umeme mara kwa mara ambayo imedumu Mkoani humo kwa zaidi ya mwezi sasa.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Philip Mpango amemuagiza Waziri wa Nishati, January Makamba hadi kufikia October 15, 2021 awe amefika Kigoma ili kutatua kero ya kukatikakatika kwa umeme mara kwa mara ambayo imedumu Mkoani humo kwa zaidi ya mwezi sasa. Mpango ametoa maagizo hayo leo katika ufunguzi wa maonesho ya tatu ya Shirika la Viwanda Vidogo ( SIDO ) 2021 ambayo Kitaifa yamefanyika Wilayani Kasulu Mkoani Kigoma.

Chanzo: millardayo.com